• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda kutwaa ubingwa endapo ikishinda mechi ya leo

    (GMT+08:00) 2018-07-25 09:07:38

    Licha ya kufungwa magoli 4-1 na Tanzania katika mechi iliyopita, Timu ya taifa ya Uganda inaweza kutwaa ubingwa wa mashindano ya CECAFA kwa mwaka huu kwa upande wa wanawake yanayoendelea nchini Rwanda endapo itashinda mechi ya leo dhidi ya wenyeji Rwanda.

    Uganda inacheza mechi yake ya nne nay a mwisho leo, ikiwa na faida ya kuongoza kundi moja la mashindano hayo kwa kuwa na alama 6, ikiwa ni zaidi kuliko timu yoyote na endapo ikishinda itakuwa na ala 9 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote kwenye mashindano hayo.

    Tishio kubwa kwa Uganda ni mabingwa watetezi Tanzania ambao wana alama 4, wakiwa bado na michezo mmoja mkononi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako