• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNAIDS yatoa mwito wa kufanyika juhudi katika kutatua msukosuko wa kujikinga na UKIMWI

    (GMT+08:00) 2018-07-25 09:36:41

    Shirika la Umoja wa Mataifa la UKIMWI UNAIDS limezitaka nchi kuchukua hatua zenye nguvu katika kutatua msukosuko wa kujikinga na UKIMWI kwenye Mkutano wa 22 wa Kimataifa wa UKIMWI mjini Amsterdam, Uholanzi.

    Shirika hilo limesema watu takriban milioni 1.8 waliambukizwa virusi vya UKIMWI mwaka jana na nchi zipatazo 50 zimeshuhudia ongezeko la maambukizi mapya ya UKIMWI, ambapo huduma za kujikinga na UKIMWI hazitolewi kwa wigo na ufanisi wa kutosha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako