• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahitaji nchini China, India na nchi za Afrika ni muhimu kwa soko la nishati duniani.

    (GMT+08:00) 2018-07-25 09:37:33

    Matumizi ya nishati nchini China, India na nchi za Afrika yanatarajiwa kuongezeka kwa kasi zaidi kuliko sehemu nyingine duniani hadi mwaka 2040, na mabadiliko katika nchi hizo yatakuwa na athari mkubwa kwa masoko ya nishati duniani. Kwa mujibu wa ripoti ya Matarajio ya Nishati ya Kimataifa mwaka 2018 iliyotolewa jana na Mamlaka ya Habari ya Nishati ya Marekani EIA, China, India na nchi za Afrika zimetumia theluthi moja ya nishati yote duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako