• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan na Russia zasaini makubaliano kwa uchimbaji wa gesi ya asili

    (GMT+08:00) 2018-07-25 09:38:28

    Sudan na Russia zimesaini makubaliano ya uchimbaji wa gesi ya asili katika maji ya Bahari Nyekundu mashariki mwa Sudan.

    Waziri wa mafuta na gesi wa Sudan Azhari Abdul-Ghader amesema serikali imechukua hatua kurahisisha uwekezaji katika uchimbaji wa gesi ya asili katika Bahari Nyekundu, na ameongeza kuwa hatua kama hizo pia zimechukuliwa katika sehemu za katikati, kaskazini na kusini mwa Sudan ikiwemo kuanzishwa kwa kiwanda cha kusafisha mafuta katika bandari ya Sudan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako