• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kilimo cha mianzi chahimiza maendeleo ya uchumi wa mji wa Chishui

    (GMT+08:00) 2018-07-25 15:09:17

    Mji wa Chishui uliopo kaskazini mwa mkoa Guizhou, ardhi yake ya misitu imechukua asilimia 82.85 ya ardhi yote ya mji huo. Wakati mji huo ulipobadilisha mashamba kwa misitu, ulianza kuendeleza kilimo cha mianzi.

    Mpaka sasa kuna wakulima 200,000 wanaojishughulisha kilimo cha mianzi. Kila mwaka thamani ya uzalishaji ya kilimo hicho inaweza kufikia yuan milioni 640. Na wastani wa pato la kila mkazi umeongezeka na kuwa yuan 3,000 pia, na familia 40,000 za wakulima zimenufaika kutoka kilimo hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako