• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yachukua hatua mbalimbali kuimarisha uhifadhi wa vitu vya kale

    (GMT+08:00) 2018-07-25 19:05:49

    Kongamano la wakurugenzi wa idara za vitu vya kale za China limefanyika leo mjini Beijing, na kutilia maanani uhifadhi wa vitu vya kale.

    Mkurugenzi wa idara ya taifa ya vitu vya kale ya China Bw. Liu Yuzhu, amesema kazi zinazopewa kipaumbele katika kipindi kijacho ni kujenga maeneo ya matumizi na uhifadhi wa vitu vya kale, kufanya usimamizi na ukaguzi wa vitu vya kale, kuharakisha marekebisho ya sheria ya uhifadhi wa vitu vya kale na kadhalika, na kuchukua hatua mbalimbali kuimarisha uhifadhi wa vitu vya kale.

    Pia amesisitiza kuwa, kuimarisha mageuzi ya matumizi na uhifadhi wa vitu vya kale kuna umuhimu mkubwa katikaa uhifadhi wa mali za urithi wa utamaduni wa China. Inapaswa kuimarisha nguvu za usimamizi na ukaguzi wa vitu vya kale, ili kuimarisha nguvu za uhifadhi wa vitu vya kale.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako