• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 38 wauawa katika shambulizi la kujitoa mhanga kusini mwa Syria

    (GMT+08:00) 2018-07-25 19:10:29

    Watu 38 wameuawa na wengine 37 kujeruhiwa katika mfululizo wa mashambulizi ya mabomu ya kujitoa mhanga katika mkoa wa Sweida ulioko kusini mwa Syria.

    Shirika la Haki za Binadamu la Syria limesema wapiganaji wa kujitoa mhanga kutoka kundi la IS walilipua mabomu waliyovaa katika mji wa Sweida pamoja na kufanya mashambulizi pembezoni mwa mji huo.

    Shirika la Habari la Syria SANA limesema mtu aliyevaa mabomu alijilipua wakati wengine wawili waliuawa kabla ya kulipua mabomu waliyovaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako