• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yailima Namibia kutinga nusu fainali magongo

    (GMT+08:00) 2018-07-26 09:00:04
    Timu ya taifa ya Kenya ya wavulana imetinga nusu fainali ya mashindano ya chipukizi ya magongo ya Afrika yanayofanyika jijini Algiers nchini Algeria.

    Kenya imejikatia tiketi hiyo baada ya kuifunga Namibia kwa mabao 3-1. Kwa mantiki hiyo, Kenya sasa itapambana na mshindi kati ya Zambia na Algeria.

    Algeria inaandaa makala ya tatu ya mashindano ya chipukizi yanayojumuisha michezo mbalimbali ikiwemo riadha ambayo yatakamilika Julai 28.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako