• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tenisi: Serena Williams aeleza kubaguliwa katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli

    (GMT+08:00) 2018-07-26 09:03:35

    Mcheza tenisi Serena Williams amesema kuwa yeye ni mwathiriwa wa ubaguzi kwa kuwa ndiye mchezaji anayefanyiwa vipimo vya mara kwa mara vya matibabu ikilinganishwa na mchezaji mwengine yeyote yule katika mchezo wa tenisi nchini Marekani.

    Bingwa huyo mara 23 wa taji la Grand Slam ametoa madai hayo katika ujumbe wa twitter baada ya maafisa wa kukabiliana na dawa za kusisimua misuli kumtembelea.

    Mchezaji huyo raia wa Marekani ameonyesha kukerwa kuhusu kiwango cha vipimo anavyofanyiwa mapema mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako