• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Goli la Pavard ndilo bora zaidi kombe la dunia 2018

  (GMT+08:00) 2018-07-26 09:07:49

  Goli la Benjamin Pavard wa Ufaransa limechaguliwa kuwa bora zaidi katika michuano ya kombe la dunia iliyomalizika Julai 15 2018.

  Goli hilo alilolifunga dhidi ya Argentina kwa mkwaju mkali wa kuunganisha uliokwenda moja kwa moja upande wa kulia wa mlinda mlango.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako