Waziri wa fedha Henry Rotich amethibitisha ziara hiyo na kusisitiza watatoa ripoti rasmi baada ya wiki 2 kuhusu mkataba baina ya pande zote mbili.
IMF ilipitisha ombi la Kenya kutaka kuongezwa miezi 6 kwa maendeleo ya miradi ya uchumi na matumizi ya fedha.
Idara husika zimekubali kuwajibika katika utekelezaji miradi na kupunguza matumizi ya fedha ya serikali.
Jan Mikkelsen ameelezea vyombo vya habari kwamba watatoa ripoti ya maelezo yote baada ya kuasisi mipango hiyo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |