• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Algeria lakataa mwito wa kuingilia siasa

    (GMT+08:00) 2018-07-27 08:56:32

    Mnadhimu mkuu wa jeshi la Algeria Bw. Ahmed Gaid Salah amesema jeshi la Algeria halitavumilia jaribio lolote la kuchochea machafuko. Bw. Salah amesema hayo akijibu wito uliotolewa na vyama vya siasa vinavyotaka jeshi kuingilia siasa, ili kutandika njia kwa ajili ya kuleta mabadiliko kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika mwaka kesho. Bw. Salah amesema jeshi la Algeria linafahamu ukomo wake na kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba ya nchi, na pia halitaruhusu machafuko ya kisiasa yatakayoiweka hatarini Algeria kwa ajili ya maslahi ya watu binafsi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako