• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM wazindua mradi wa hifadhi ya mazingira nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2018-07-27 09:13:15

    Shirika la Mpango la Umoja wa Mataifa UNDP limezindua mpango wenye thamani ya dola milioni 4 za kimarekani unaolenga kuhifadhi mazingira nchini Kenya.

    Naibu mkurugenzi mkazi wa UNDP nchini Kenya Bibi Catherine Masaka amesema, mpango huo wa misaada midogo SGP utasaidia kuhifadhi mazingira duni yanayokabiliwa na changamoto ya kutishia maisha ya watu.

    Wakati huohuo, waziri wa mafuta na madini wa Kenya Bw. John Munyes, amesema nchi hiyo inafikiria mfululizo wa mageuzi ya sheria ili kustawisha matumizi ya nishati safi.

    Ameongeza kuwa mswada wa sheria mpya unaoimarisha kanuni za gesi ya vimiminika umepitishwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako