• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BMT yatangaza tarehe ya uchaguzi wa Chama cha Gofu Tanzania

    (GMT+08:00) 2018-07-27 10:22:37

    Baraza la Michezo nchini Tanania (BMT) limetangaza tarehe pamoja na mchakato mzima wa uchaguzi wa Chama cha Gofu Tanzania (TGU) ambao unatarajiwa kufanyika Agosti 18 mwaka huu Klabu ya Gymkhana Mkoani Morogoro. Afisa habari wa BMT Najaha Bakari amesema, fomu za uchaguzi zimeanza kutolewa jana na baraza na mwisho wa kuchukua na kurejesha itakuwa Agosti 16 ikifuatiwa na usaili ambao unatarajiwa kufanyika Agosti 17 huku uchaguzi ukifanyika siku moja baada ya usaili ukitanguliwa na mkutano mkuu ambapo ametaja nafasi zinazogombewa ndani ya chama hicho pamoja na sifa zinazotakwia kwa wagombea. nafasi zinazogombewa ni pamoja Rais, Makamu wa Rais, Katibu wa Heshima, Mweka hazina na Katibu wa mashindano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako