• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa China kwenye shirika la WTO apinga malalamiko ya Marekani kuhusu mfumo wa uchumi wa China

    (GMT+08:00) 2018-07-28 15:46:51

    Mjumbe wa kudumu wa China wa shirika la biashara duniani WTO Bw. Zhang Xiangchen amepinga malalamiko ya Marekani kuhusu mfumo wa uchumi wa China.

    Katika mkutano wa bodi ya shirika la biashara duniani WTO uliofanyika juzi Alhamisi , Bw. Zhang amesema, mjumbe wa Marekani amelaani kuwa uchumi wa China si uchumi wa soko, lakini kutokuwepo kwa kigezo cha "uchumi wa soko" duniani kinachoambatana na hali halisi ya kila nchi. Hivi sasa shirika la WTO linakabiliwa na changamoto kubwa, hatua za Marekani za kuweka vikwazo dhidi ya uagizaji wa bidhaa za chuma cha pua na alumini na kuongeza ushuru wa forodha zimeharibu kihalisi kanuni za WTO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako