• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shindano la kuimba Kichina lafanyika katika chuo kikuu cha Kenyatta

    (GMT+08:00) 2018-07-28 16:46:54

    Toleo la pili la shindano la kuimba kichina limefanyika jana katika chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Kenya cha Kenyatta na kutumbuizwa kwa ustadi na wanafunzi.

    Wanafunzi hao walitumbuiza mashairi ya nyimbo za kichina mbele ya wageni akiwemo Kansela wa Ubalozi wa China nchini Kenya Bwana Wang Xuezheng.

    Bwana Wang ameeleza kuwa, kuna njia nyingi za kuimarisha uhusiano mzuri na ushirikiano kati ya China na Kenya, ikiwemo kupitia sekta ya utamaduni.

    Naye Mkurugenzi wa chuo cha Confucius katika chuo hicho Bwana Kamau Wango amesema shindano hilo ni kiunganishi cha jamii kubadilishana utamaduni ambao unaleta matokeo chanya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako