• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa Tume ya utungaji wa katiba ya Libya ajiuzulu

    (GMT+08:00) 2018-07-30 08:48:02

    Mkuu wa Tume ya utungaji wa katiba ya Libya Bw. Nouh Abdassayed ametangaza kujiuzulu, siku moja kabla ya bunge la mashariki mwa Libya kupigia kura sheria ya kura za maoni kuhusu katiba rasmi ya nchi hiyo.

    Kwenye barua aliyoiandikia tume hiyo, Bw. Abdassayed amesema hataki na hana uwezo wa kuendelea na kazi yake kama mkuu au mjumbe wa tume hiyo, lakini hakutaja sababu ya uamuzi huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako