• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bei ya unga,wa mahindi ya shuka

    (GMT+08:00) 2018-07-30 20:59:03

    Bei ya unga, chakula kikuu kwa nchini imeshuka hadi Sh92, kutoka Sh120 mwanzoni mwa mwaka.

    Bei ya unga wa mahindi ilipanda hadi sh 120 baada ya mpango wa serikali kuisha mwezi Januari.

    Bei ya mchele pia imeshuka kwa kiasi kikubwa tangu Desemba mwaka jana kutoka Sh200 kwa kilo hadi Sh180 mwezi Mei kabla ya kufikia Sh130 ya sasa katika mpango mkuu wa unyunyizaji maji eneo la Mwea.

    Bei ya maziwa, pia, imebaki chini kwa mwaka mmoja Sh50. Hata hivyo, wasindikaji wameonya uwezekano wa kuongezeka kwa gharama kutokana na uhaba ambao unashuhudiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako