• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda kwa mara ya kwanza inafirisha bidhaa zaidi kwa Kenya kuliko ilivyoagiza miezi mitano

    (GMT+08:00) 2018-07-30 21:00:10

    Uganda kwa mara ya kwanza inafirisha bidhaa zaidi kwa Kenya kuliko ilivyoagiza miezi mitano, hii imetokana na mauzo ya mahindi kuongezeka.

    Benki Kuu ya Kenya (CBK) imeweka thamani ya bidhaa Uganda ilituma kuwa Shs.1.1 trilioni sawa na (Ksh30.21b) katika kipindi cha Mei ikilinganishwa na mauzo ya Shs 965b (Ksh26.08b), iliyosababisha upungufu wa biashara kwa Sh 153b (Ksh4. 13b).

    Hali mbaya ya hewa imeona Kenya inategemea zaidi Uganda kwa mahitaji yake ya chakula, hasa mahindi na karanga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako