• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wateja wa umeme sasa watalipa kidogo kwa umeme

    (GMT+08:00) 2018-07-30 21:00:50

    Wateja wa umeme sasa watalipa kidogo kwa umeme baada ya Tume ya Udhibiti wa Nishati kutangaza ushuru mpya wa umeme na kuondoa ada mtu analipa.

    tariffu mpya inapunguza gharama za umeme kutoka shilingi 17 na senti 77 kwa kilowatt kwa saa hadi shilingi 16 na senti 64 kwa kilowatt, kupunguza kwa jumla ya asilimia 6.

    Wateja wa Biashara na Viwanda wanapunguziwa kwa asilimia 4.4.

    ERC imesema wateja watalipa tu kile wanachotumia kuanzia kwa mzunguko wa bili ya mwezi Julai 2018

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako