• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM wapokea tuhuma 70 za udhalilishaji na unyanyasaji wa kingono katika robo ya pili ya mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-07-31 08:58:55

    Umoja wa mataifa umesema umepokea tuhuma 70 za udhalilishaji na unyanyasaji wa kingono katika robo ya pili ya mwaka huu, ambazo zinawahusisha wafanyakazi wa Umoja wa mataifa na wale waliotumikia mashirika na programu zake. Naibu msemaji wa Umoja wa mataifa Bw. Farhan Haq amesema kutolewa kwa taarifa hiyo ni sehemu ya ahadi aliyotoa katibu mkuu wa Umoja huo Bw. Antonio Guterres ya kuongeza uwazi wa kutoa ripoti kuhusu udhalilishaji na unyanyasaji wa kingono ndani ya Umoja huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako