• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda yaondoa marufuku ya usafirishaji wa ng'ombe baada ya homa ya Bonde la ufa kudhibitiwa

    (GMT+08:00) 2018-07-31 09:51:18

    Wizara ya kilimo na mifugo ya Rwanda imesema imeamua kuondoa marufuku ya usafirishaji wa ng'ombe baada ya kudhibitiwa kwa homa ya bonde la ufa iliyotokea mwezi uliopita kwenye wilaya 4 za mkoa wa mashariki wa nchi hiyo.

    Wizara hiyo imesema, homa ya bonde la ufa iligunduliwa katika maeneo ya Ngoma, Kirehe, Rwamagana na Kayaonza tarehe 18 mwezi Mei, na kusababisha vifo vya ng'ombe 99.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako