• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa waonya dhidi ya kuondoka mapema kwa AMISOM

    (GMT+08:00) 2018-07-31 09:54:11

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeonya dhidi ya kuondoka mapema kwa vikosi vya tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM.

    Mwenyekiti wa kamati ya vikwazo dhidi ya Somalia na Eritrea ya baraza hilo Bw. Kairat Umarov amesema, vikosi vya Somalia havina uwezo wa kutosha kulinda usalama wa nchi. Pia amesema vikwazo vya silaha dhidi ya Somalia bado vinapaswa kutekelezwa hadi mageuzi wa kisiasa yatakapaomalizika.

    Baraza hilo pia limerefusha muda wa idhidi ya AMISOM kwa miezi 10 zaidi, na kuamua kupunguza askari hadi elfu 20,626 kabla ya tarehe 28, mwezi wa Februari, mwaka kesho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako