• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la IS lateka nyara wanawake na watoto zaidi ya kumi kusini mwa Syria

    (GMT+08:00) 2018-07-31 17:15:12

    Shirika la Kusimamia haki za binadamu nchini Syria limesema, wapiganaji wa kundi la IS wamewateka nyara wanawake na watoto zaidi ya 36 wa jamii ya Druze kutoka kijiji cha Al-Shabki baada ya kufanya mashambulizi wiki iliyopita mkoani Sweida nchini Syria.

    Jumatano iliyopita, milipuko mikubwa ya kujitoa mhanga na mashambulizi ya risasi yaliyofanywa na kundi la IS yalisababisha vifo vya watu 250 kwenye mji mkuu wa mkoa huo na vijiji vilivyoko karibu.

    Kundi hilo limesema, wanawake 20 na watoto 16 walitekwa nyara na kund hilo Julai 25. Wanne kati yao walifanikiwa kukimbilia maeneo ya Druze na wengine wawili wamefariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako