• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: EAB kutoa milioni 69 kwa wenye hisa

    (GMT+08:00) 2018-07-31 19:54:48

    Kampuni ya mvinyo ya East African Breweries EABL itatumia dola milioni 59.3 kulipa mgao wa hisa kwa wadau wake.

    Kampuni hiyo italipa shilingi 5.5 kwa kila hisa.

    Hata hivyo EABL ilikuwa na upungufu wa faida kwenye ki[pindi kilichokamilika Juni 30 ambapo ilipata dola milioni 72 ikilinganisha na dola milioni 85 kipindi sawa na hicho mwaka uliopita .

    Imesema kampuni hiyo kuwa kupungua kwa faida yake kumetokana na kulipa kodi ya jumla inayolipwa mara moja baada ya kipindi fulani.

    Lakini pia mauzo yake yameendelea kupanda hasa ya vinywaji kama vile Tusker Cider na Serengeti Lite.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako