• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wakulima wa mboga na matunda Rwanda wahimizwa kutumia teknolojia

    (GMT+08:00) 2018-07-31 19:55:07

    Halmashauri ya kuuza nje bidhaa za kilimo nchini Rwanda (NAEB) imetoa wito kwa kwa wakulima wa mboga na matunda kukumbatia mbinu za kisasa za kilimo ili kupunguza uharibifu wa mazao yao baada ya kuvuna.

    Maafisa wa halamashauri wamefanya utafiti kwa kushirikiana na chuo kikuu cha Rwanda na kubaini miongoni mwa bidhaa zinazoharibika haraka ni kama vile nyanya, ndizi na pilipili.

    Miongoni mwa vichangiaji vya kuharika kwa mazao ni pamoja na kubeba kupita kiasi, kutumia magunia au vikapu vya hali duni na kukosa kuthibiti joto .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako