• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mauzo baina ya nchi za COMESA yapungua

    (GMT+08:00) 2018-07-31 19:55:44

    Mauzo ya bidhaa za Uganda kwenye nchi wanachama wa soko la pamoja la mashariki na kusini mwa Afrika yalipungua huku kushuka kwa bei ya mafuta kukitajwa kama mojawepo wa sababu za upungufu huo.

    Mwaka wa 2017 kulikuwa na mauzo ya hadi shilingi trilioni 29.2 ikilinganishwa na shilingi trilioni 29.7 mwaka 2016.

    Kulingana na taakwimu Misri, Kenya, Uganda, Zambia na Sudan ndio ziliuza zaidi kwenye soko hilo leye nchi 21.

    Hata hivyo Uganda ni miongoni mwa nchi tano za kwanza zilizochangia kwa asilimia 81 biashara ndani ya COMESA tangu kuanzishwa kwa soko huru kwa nchi hizo mwaka 2000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako