• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Chama cha mchezo wa Taekwon-do Zanzibar cha jiandaa kuelekea The 1st Continental Championship

  (GMT+08:00) 2018-08-02 08:32:02

  Chama cha mchezo wa Taekwon-do Zanzibar kilicho chini ya chama cha Taekwon-do Tanzania (TTA) kinatarajia kuelekea kwenye mashindano ya Afrika (ITF), mashindano hayo yanayojulikana kwa jina la "The 1st Contenetal Championship" yatakayofanyika Adis Ababa Ethopia mwezi ujao.

  Mwenyekiti wa chama hicho Maximilian Kailangana amesema baada ya kurudi kwenye mashindano ya Afrika Mashariki na kati mwezi wa Tano na kufanikiwa kurudi medali tisa za mashindano hayo sasa wanajindaa na mashindano ya Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako