• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Neymar amekiri kuwa alikuwa anadanganya World Cup 2018

    (GMT+08:00) 2018-08-02 08:33:58

    Staa wa soka wa club ya Paris Saint Germain ya Ufaransa na timu ya taifa ya Brazil Neymar jina lake lilikuwa kwenye headlines sana wakati wa fainali za michuano ya Kombe la Dunia 2018 zilizofanyika nchini Urusi kutokana na kitendo chake cha kudaiwa kujiangusha.

    Neymar alikuwa anadaiwa kuwa anajiangusha sana kwenye nmechi za michezo hiyo, amenukuliwa na baadhi ya mitandao kuwa alikuwa anadanganya ili kuonekana kama ameumizwa sana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako