• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Poland yaadhimisha miaka 74 ya uasi wa Warsaw

    (GMT+08:00) 2018-08-02 08:47:38

    Poland imeadhimisha miaka 74 ya uasi wa Warsaw, ambao ni hatua za chini chini dhidi ya wanazi wa Ujerumani katika Ulaya iliyokaliwa. Akihutubia maadhimisho hayo, Rais Andrzej Duda wa Poland amesema maadhimisho hayo yanalenga kutoa heshima na kuwakumbuka si kama tu watu waliopigania uasi huo, bali pia wale walioteswa na kuuawa kikatili na wanazi wa Ujerumani kwa sababu wao ni wapoland.

    Imefahamika kuwa waasi elfu 18 na raia laki mbili waliuawa kutokana na uasi huo ambao ulikuwa ni operesheni kubwa zaidi ya upinzani katika Ulaya wakati ilipokaliwa na wanazi wa Ujerumani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako