• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marejesho ya mkopo wa pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja wa benki ya EXIM ya China yaongezeka katika nusu kwanza ya mwaka huu

  (GMT+08:00) 2018-08-02 19:05:05

  Benki ya EXIM ya China inasema, hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, marejesho ya mkopo uliotumiwa katika pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja wa benki hiyo yaliongezeka kwa asilimia 37 kuliko mwaka jana wakati kama huu, huku mkopo maalum wa dola za kimarekani bilioni 19 uliopitishwa kwenye baraza la viongozi la ushirikiano wa kimataifa la pendekezo hilo ukisainiwa.

  Aidha, benki hiyo iliunga mkono maendeleo ya biashara na nchi za nje na sekta ya utengenezaji wa kisasa, kuendelea kuunga mkono kuondoa uwezo batili wa uzalishaji, kutoa aina mpya a mkopo wa maendeleo yasiyo na uchafuzi wa mazingira.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako