• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Issa Bigirimana aomba msamaha APR fc

    (GMT+08:00) 2018-08-03 08:55:55
    Mshambuliaji wa timu ya APR FC ya Rwanda, Issa Bigirimana aliyeadhibiwa na uongozi wa klabu hiyo kwa shutuma za kukataa kucheza mchezo wa kwanza wa robo fainali ya kombe la amani dhidi ya Polisi FC aomba msamaha kwa uongozi wa timu na mashabiki kwa ujumla.

    Issa Bigirimana na kipa Emery Mvuyekure walisimamishwa Julai 21 kwa kukataa kucheza mechi ya kwanza ya robo fainali ya kombe la amani dhidi ya Polisi FC, kicukiro. Katika mchezo huo, APR na Polisi walitoka sare ya bila kufungana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako