• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uingereza kuomba kuandaa kombe la dunia 2030

    (GMT+08:00) 2018-08-03 08:57:53

    Shirikisho la kandanda nchini Uingereza, FA lipo katika mipango ya kuomba nafasi ya kuandaa michuano ya kombe la dunia mwaka 2030. Kupitia kwa mwenyekiti wa chama hicho, Creg Clarke ambaye amethibitisha kuwa bodi ya chama hicho imefikia makubaliano ya kuanza kazi hiyo kuona kama itawezekana.

    Uingereza inatarajia kupata upinzani kutoka kwa mataifa ya Argentina, Uruguay na Paraguay ambayo yanapanga kuomba nafasi ya kuandaa michuano hiyo kwaajili ya kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1930.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako