• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa UM nchini Yemen kuzialika pande hasimu kwenye mazungumzo ya kisiasa mwezi ujao

    (GMT+08:00) 2018-08-03 09:09:32

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa mataifa nchini Yemen Bw. Martin Griffiths amesema atazialika pande hasimu nchini humo kushiriki kwenye mazungumzo ya kisiasa yatakayofanyika mwezi ujao mjini Geneva.

    Bw. Griffiths amesema majadiliano hayo yatatoa fursa kwa pande hizo kujadili ajenda ya mazungumzo rasmi, kufikia mwafaka kuhusu hatua za kujenga uaminifu, na mipango maalumu ya kuhimiza mchakato wa kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako