• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Mnangagwa achaguliwa rais wa Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2018-08-03 09:53:33

    Tume ya Uchaguzi ya Zimbabwe imemtangaza rais wa sasa Emmerson Mnangagwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

    Kwa mujibu wa matokeo yaliyohesabiwa, rais Mnangagwa alipata kura 2,460,463, ikiwa ni asilimia 50.8 ya kura zote. Mpinzani wake mkubwa Bw Nelson Chmisa wa muungano wa upinzani MDC alipata kura 2,147,436.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako