• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Al Qaida washambulia kambi ya jeshi la Yemen

    (GMT+08:00) 2018-08-03 18:50:35

    Watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la AL Qaida tawi la Yemen wameshambulia kambi ya jeshi wa askari wapya walioandikishwa na jeshi la Yemen katika eneo la kusini la mji wa pwani wa Abyan mapema leo.

    Chanzo cha habari kimesema, maguruneti yalitumika katika shambulizi hilo lililosababisha idadi isiyojulikana ya vifo na majeruhi. Askari wa Yemen waliokuwa wakilinda kambi hiyo walikabiliana na washambuliaji hao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako