• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za jumuiya ya Asia Mashariki, Pasifiki, China, Japan na Korea Kusini wafanyika nchini Singapore

    (GMT+08:00) 2018-08-04 18:14:01

    Waziri wa mambo ya nje wa China ambaye pia ni mjumbe wa taifa wa China Bw. Wang Yi tarehe leo Agosti 4 amehudhuria mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za jumuiya ya Asia, Pasifiki, China, Japan na Korea Kusini uliofanyika nchini Singapore.

    Bw. Wang Yi, jumuiya hiyo na pamoja nchi hizo tatu wameonyesha nguvu kubwa. Kwenye mchakato wa ushirikiano kati ya jumuiya hiyo na nchi hizo tatu katika miaka 20 iliyopita, maarifa muhimu kabisa ni kufanya ushirikiano kutokana na wakati, kusukuma mbele kwenye historia na kupata maendeleo katika kipindi. Hivi sasa nchi hizi zinapaswa kuwa na matarajio ya kusukuma mbele biashara huria na uaminifu wa kulinda pande mbalimbali, kusukuma mbele utandawazi wa uchumi wa eneo hilo, kujenga muungano wa uchumi wa Asia Mashariki na Pasifiki, kuunda uchumi wa kufungua mlango wa dunia, na kutoa utulivu na uhakikisho kwa uchumi wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako