• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 13 wathibitika kuwa na Ebola mashariki ya DRC

    (GMT+08:00) 2018-08-05 19:02:21

    Usiku wa kuamkia jumapili wizara ya afya nchini jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imethibitisha kuwa watu 13 wameambukizwa ugonjwa wa ebola, wakiwemo watatu waliofariki kutokana na ugonjwa huo katika jimbo la Kivu Kaskazini, na eneo la Malabako ndilo lililoathirika zaidi kwa kuwa 10 kati ya watu walioambukizwa 13 wamepatikana huko.

    Matokeo haya ni sehemu ya upimaji wa kila siku unaofanywa na wataalamu wa maabara kutoka wizara ya afya, kwa kushirikiana na wataalamu kutoka WHO ambao walipelekwa huko tangu ugonjwa huo ulipogundulika katika mji wa Benni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako