• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Venezuela yawakamata baadhi ya watuhumiwa wa shambulizi la ndege isiyo na rubani

    (GMT+08:00) 2018-08-06 09:36:00

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema serikali yake imewakamata baadhi ya watuhumiwa wa shambulizi lililomlenga kutumia ndege isiyo na rubani.

    Uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa shambulizi hilo linahusika na watu wenye siasa kali wa mrengo wa kulia nchini Venezuela na Colombia. Rais Maduro pia amemtaja rais Juan Manuel Santos wa Colombia kuwa nyuma ya shambulizi hilo, na ameliagiza jeshi kuimarisha usalama katika maeneo ya mpaka kati ya Venezuela na Colombia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako