• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bei za mafuta zashuka kutokana na uzalishaji mkubwa wa OPEC na Russia

    (GMT+08:00) 2018-08-06 09:37:09

    Bei za mafuta zilishuka kidogo katika wiki iliyopita na kushuhudia hasara ya nne katika wiki tano zilizopita. Hali hii imetokana na ongezeko la uzalishaji wa mafuta wa Shirika la Nchi Zinazosafirisha Mafuta kwa Wingi Zaidi OPEC na Russia, ambazo zimetangaza kuongeza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa laki 3 na laki 1.5 mtawalia kila siku mwezi uliopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako