• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Usajili: Ngolo Kante akataa ombi la kujiunga PSG aamua kubaki Chelsea

    (GMT+08:00) 2018-08-06 10:17:14

    Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Ngolo Kante amekataa ombi la kujiunga PSG na kuamua kuwa ataendelea kucheza katika klabu yake ya Chelsea.

    Katika ombi hilo Kante alikuwa ameahidiwa mshahara mnono wa kiasi ya Pauni za kiingereza 350,000 kwa wiki jambo hata hivyo halikumfanya aingie makubaliano hivyo akiamua kusalia Chelsea ambako analipwa pauni 120,000 kwa wiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako