• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waamuzi 74 wa soka nchini Ghana wasimamishwa kwa kuhusika na udanganyifu

    (GMT+08:00) 2018-08-06 10:17:34

    Waamuzi 74 wa soka nchini Ghana, wamepigwa marufuku kuchezesha soka nchini Ghana baada ya kubainika kujihusisha na udanganyifu, hii inafuatia ripoti iliyofichuliwa na mwandishi wa habari, Anas Aremeyaw Anas

    Ripoti za kusimamishwa kwa waamuzi hao zimetolewa na chama cha waamuzi wa soka nchini Ghana (RAG) hadi uamuzi mwingine utakapotolewa na kamati ya waamuzi.

    Orodha hiyo inajumuisha waamuzi wa kati na waamuzi wasaidizi,waamuzi wa ligi ya wanawake. Vilevile wamo waamuzi wenye beji ya shirikisho la kandanda duniani Fifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako