• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Magari ya Mashindano ya Mwendokasi: Dereva Ricciardo aeleza sababu za kuihama timu yake

    (GMT+08:00) 2018-08-06 10:18:17

    Dereva wa magari ya mashindano ya mwendokasi kutoka timu ya Redbull, Danny Ricciardo raia wa Australia mwishoni mwa juma hili alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kueleza kuwa sababu kubwa iliyomfanya athibitishe kuihama timu hiyo msimu ujao, ni kutafuta maisha mapya sehemu nyingine.

    Ricciardo ambaye ni namba 5 kwenye msimamo wa viwango vya ubora wa madereva wa langalanga amesaini mkataba wa kujiunga na timu nyingine ya mashindano hayo ya Renault Sport, na sasa anaachana na Redbull ambayo ameitumikia kwa miaka 5 iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako