• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege ya bei nafuu Fly Tristar kupiga jeki sekta ya utalii ya pwani

    (GMT+08:00) 2018-08-06 19:03:48

    Wawekezaji wa sekta ya ukaribishaji wageni mkoa wa pwani, wamefurahishwa na tangazo la ndege ndogo ya bajeti ya chini ambayo itatoa huduma yake kuenda Mombasa, na kuleta wateja karibu 4,000 kwa kaunti ya Mombasa, kati mwaka 2018 na mapema 2019.

    Uzinduzi wa Fly Tristar yenye gharama ya chini kuenda Mombasa inatarajiwa kupiga jeki a sekta ya utalii ya Pwani

    Ndege hiyo, kuenda Mombasa itaongoza kwa ongezeko kubwa la wageni wa pwani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako