• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Gharama ya gesi ya kupikia imeongezeka kutokana na gharama ya juu ya mafuta ya petroli

    (GMT+08:00) 2018-08-06 19:05:04

    Gharama ya kujaza silinda ya gesi kilo 13 bei yake iliongezeka hadi Sh2, 176 mwezi uliopita, kutoka

    2, 170 Juni na Sh2, 073 mwezi Julai mwaka jana.

    Gharama ya Julai ni ya juu tangu Juni 2016, wakati Hazina ya fedha iliondoa kodi VAT kwa gesi ili kupunguza gharama na kuongeza utumizi wa gesi hata kwa watu wa kipato cha chini wanaotumia mafuta taa na makaa kwa ajili ya kupikia.

    Bei ya kujaza gesi ilifika Sh2,231 mwezi wa Juni 2016 na kushuka chini hadi Sh2,000 mwezi Oktoba, miezi minne baada ya kupunguzwa kwa VAT ya asilimia 16.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako