• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: serikali ya kusanya dola bilioni 2.58 kutoka soko la nje

    (GMT+08:00) 2018-08-06 19:05:31

    Katika mwaka wa mwisho wa fedha, serikali ya Ethiopia imekusanya dola bilioni 2.58 kutoka kilimo, viwanda na madini, asema Wizara ya Biashara.

    Mkurugenzi wa Wizara ya Mawasiliano, Wendimu Filate amesema kutoka sekta ya kilimo peke yake karibu dola bilioni 1.97 zilikusanywa ndani ya miezi kumi na moja.

    Kuhusu sekta ya viwanda, dola milioni 415.93 zilikusanywa. Ikilinganishwa na mwaka uliopita wa bajeti.

    Filate amesema ubora na wingi wa bidhaa zina jukumu muhimu katika mashindano ya kimataifa na masoko ya ndani ili kupata kipato zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako