• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Facebook ya onya kuwa itasitiza uwekezaji wa miundombinu

    (GMT+08:00) 2018-08-06 19:13:39

    Facebook ilionya kuwa itasitiza uwekezaji wa miundombinu yenye thamani ya mamilioni ya dola iliyopangwa nchini.

    Facebook ilipanga kushirikiana na Airtel Uganda na Bandwidth na Huduma za Cloud ili kupanua mtandao na kilomita 770 hadi kaskazini mwa Uganda.

    Upanuzi wa mtandao nje ya Kampala ni moja ya sababu ambazo Uganda imetoa kwa kuanzisha kodi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako