• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eritrean Airlines yaanza safari zake za kila siku kuenda Addis

    (GMT+08:00) 2018-08-06 19:48:54

    Eritrean Airlines imeanza safari zake ndege za kila siku kuenda mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa, waziri mawasiliano wa Eritrea amesema hatua hii, inaashiria hatua nyingine katika kuboresha uhusiano kati ya Pembe ya nchi za Afrika baada ya kizazi cha uadui.

    Ndege iliyobeba waziri wa usafiri na utalii wa Eritrea na maofisa wengine ilitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa bole Addis Ababa.

    Mwezi uliopita, shirika la ndege la Ethiopia Airways ilikuwa ndege ya kwanza ya kibiashara kutoka Ethiopia hadi Eritrea kutua Asmara katika miaka 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako