• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IOM na Umoja wa Ulaya wawapa mafunzo wahamiaji waliochagua kurudi Somaliland

    (GMT+08:00) 2018-08-07 09:29:02

    Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa IOM na Umoja wa Ulaya wiki hii wanawapa mafunzo wahamiaji 60 waliochagua kurudi Somaliland kutoka Libya badala ya kuendelea na safari zao kuelekea Ulaya.

    IOM imesema wahamiaji hao wanapewa mafunzo ya "Kuanzisha Biashara Yako" kuhusu mpango wa biashara, ununuzi, soko na ukusanyaji wa pesa kupitia mpango wa pamoja wa Umoja wa Ulaya na IOM kwa ajili ya ulinzi wa wahamiaji na kujiunga tena katika Pembe ya Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako