• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wagombea 521 kuwania nafasi za viti katika bunge la Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-08-07 09:30:02

    Tume ya Uchaguzi ya Taifa ya Rwanda imetangaza majina ya wagombea 521 kabla ya uchaguzi wa wabunge utakaofanyika mwezi ujao.

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Bw. Kalisa Mbanda amesema orodha hiyo inajumuisha watu 302 kutoka vyama mbalimbali vya kisiasa, wagombea huru 4, 26 kutoka kundi la vijana, 10 kutoka kundi la walemavu na wagombea wanawake 179. Chama tawala cha RPF kimewateua wagombea 70 na vyama washirika wake vina wagombea 10.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako